“Askofu alishamtahadharisha mlinzi kwa sababu wiki mbili zilizopita alishatoa taarifa polisi kuhusiana na vitisho alivyokuwa akipewa na watu wasiojulikana, kikubwa kilichosaidia ni kwamba nyumba ya askofu iko umbali kidogo, lakini wangemdhuru,” alisema mtoa taarifa wetu huyo. Mtoa habari wetu huyo aliliambia gazeti hili kuwa wakati mlinzi huyo akivamiwa na kucharangwa mapanga, Askofu Mokiwa pamoja na mke wake walikuwemo ndani ya nyumba lakini hawakuweza kusikia lolote, kutokana na lango la kuingia nyumbani kwake kuwa mbali na nyumba. Habari zilizothibitishwa na mtu mmoja wa karibu na Askofu huyo zinaeleza kuwa, mlinzi huyo aligoma kuwaambia ukweli watu hao kwa sababu alikwishaonywa kuwa makini na wageni wa aina yoyote wanaofika nyumbani hapo kumuulizia Mokiwa. Alisema mlinzi huyo aliyetambulika kwa jina la Fred, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 45, alipigwa hadi kuzimia kabla ya watu hao kutokomea kusikojulikana. mlinzi akawajibu kuwa hayupo, wakamuuliza tena mama je (mke wa askofu), akawajibu kuwa wote hawapo, baada ya kujibiwa hivyo walianza kumpiga mlinzi kwa madai kuwa hataki kuonyesha ushirikiano, walimpiga na kumjeruhi vibaya kwa mapanga na hadi sasa amelazwa katika Hospitali ya Tumbi, Kibaha,”,kilisema chanzo hicho. “Wale watu walipofika kwa mlinzi walimuuliza kuwa askofu yupo. Akizungumza na MTANZANIA Jumapili, mmoja wa watu wa karibu na askofu Mokiwa alisema watu hao walifika kwa lengo la kutaka kuingia ndani ili waweze kumuona, hali iliyomfanya mlinzi kuwazuia. Taarifa za uhakika zilizolifikia gazeti hili, na kuthibitishwa na Askofu Mokiwa mwenyewe, zinaeleza kuwa watu hao watatu ambao mpaka sasa hawajafahamika, walifika nyumbani kwake hapo juzi majira ya saa tisa usiku wakitaka kumuona askofu huyo. Valentino Mokiwa, amevamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Mbezi Luis, eneo la Mashirikiano, jijini Dar es Salaam, ambapo baada ya kumkosa walimjeruhi mlinzi wake. ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk.
0 Comments
Leave a Reply. |
AuthorWrite something about yourself. No need to be fancy, just an overview. ArchivesCategories |